Mkulima - Ghala la Machapisho ya Kilimo

Ghala hili limebeba machapisho na taarifa mbalimbali za kilimo zilizoboreshwa kwa matumizi ya wakulima, wafugaji, wavuvi, maafisa ugani na wadau wengine wa kilimo.

Communities in Mkulima

Select a community to browse its collections.

Recently Added

 • Unknown author (Bodi ya Korosho - Tanzania, 2017)
  Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele, Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri, imeandaa Mpango wa miaka mitatu (3) wa uzalishaji miche na upandaji mikorosho mipya (2016/2017 ...
 • Unknown author (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2017)
  Kipeperushi kinachoelezea magonjwa na wadudu mbalimbali ambao wanaathiri mikorosho na uzalishaji wake kabla na baada ya mavuno.
 • Mussa, D (Kilimo Tanzania, 2018)
  Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao hili linaweza kulimwa maeneo mengi ya Afrika mashariki na Tanzania.Ni zao ambalo linatowa ...
 • Unknown author (FARM Africa, 2014)
  FARM Africa ni shirika lisilo la kiserikali, na shughuli zake nyingi zimejikita kati kuchangia kupunguza umaskini wa Mtanzania wa hali yachini. Shirika hili linafanya shughuli zake zaidi katika Wilaya zaBabati, Mbulu ...
 • Nyamai, B; Mati, B; Gidamis, A (Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology - JKUAT, 2010-02)
  Mpunga (mchele) ni mojawapo ya nafaka muhimu nchini Kenya ambayo matumizi yake yako katika nafasi ya tatu baada ya mahindi na ngano. Ulaji wa mchele umeongezeka ilhali uzalishaji wake bado ni wa kiwango cha chini. ...

View more