Mkulima

Recent Submissions

 • Unknown author (Bodi ya Korosho - Tanzania, 2017)
  Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele, Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri, imeandaa Mpango wa miaka mitatu (3) wa uzalishaji miche na upandaji mikorosho mipya (2016/2017 ...
 • Unknown author (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2017)
  Kipeperushi kinachoelezea magonjwa na wadudu mbalimbali ambao wanaathiri mikorosho na uzalishaji wake kabla na baada ya mavuno.
 • Mussa, D (Kilimo Tanzania, 2018)
  Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao hili linaweza kulimwa maeneo mengi ya Afrika mashariki na Tanzania.Ni zao ambalo linatowa ...
 • Unknown author (FARM Africa, 2014)
  FARM Africa ni shirika lisilo la kiserikali, na shughuli zake nyingi zimejikita kati kuchangia kupunguza umaskini wa Mtanzania wa hali yachini. Shirika hili linafanya shughuli zake zaidi katika Wilaya zaBabati, Mbulu ...
 • Nyamai, B; Mati, B; Gidamis, A (Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology - JKUAT, 2010-02)
  Mpunga (mchele) ni mojawapo ya nafaka muhimu nchini Kenya ambayo matumizi yake yako katika nafasi ya tatu baada ya mahindi na ngano. Ulaji wa mchele umeongezeka ilhali uzalishaji wake bado ni wa kiwango cha chini. ...
 • Unknown author (Kituo cha Utafiti wa Kilimo - KATRIN, 2005)
  Mpunga ni zao la pili la chakula muhimu kwa linalolimwa sehemu nyingi nchini Tanzania. Umuhimu wa zao hili umeongezeka kuanzia muongo uliopita kutokana na jamii za mijini na vijijini kupendelea zaidi kula wali na kupunguza ...
 • Unknown author (International Livestock Research Institute - ILRI, 2016)
  Ndigana kali ni ugonjwa hatari wa ng’ombe unaoenezwa na kupe wekundu wanaokaa katika masikio ya ng’ombe. Ugonjwa huu unasababisha vifo na hasara kubwa kiuchumi.
 • Unknown author (Tanzania Organic Agriculture Movement - TOAM, 2015)
  Kulingana na Shirikisho la kimataifa la harakati za kilimo hai (IFOAM, 2008), Kilimo-hai kinafafanuliwa kuwa ni“ mfumo wa uzalishaji ambao unaendeleza afya ya udongo, mifumo ya ikolojia na watu. Kilimo hiki hutegemea ...
 • Unknown author (COUNSENUTH, 2010-07)
  Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko ...
 • Unknown author (Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Tanzania., 2018)
  Chakula bora ni mlo kamili ulioandaliwa kutokana na mchanganyiko wa makundi matano ya chakula
 • Unknown author (Sustainable Agriculture Tanzania SAT, 2014, 2014)
  Mkulima Mbunifuni ni jarida huru kwa jamii ya wakulima Afrika Mashariki. Jarida hili linaeneza habari za kilimo hai na kuruhusu majadiliano katika nyanja zote za kilimo endelevu.Toleo limejumuisha Magonjwa ya ng'ombe ...
 • Unknown author (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
  Nimonia ya mifugo au Contagious bovine pleuropneumonia (CBPP) ni ugonjwa unaowaathiri mifugo.Jamii tofauti wanayo majina tofauti ya ugonjwa huu.
 • Unknown author (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
  Minyoo huishi tumboni katika kondoo na mbuzi. Minyoo hii hutaga mayai ambayo hutolewa kupitia kinyezi chao kisha hukua hadi kiwango cha larvae kwenye mifugo.
 • Unknown author (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
  Mpunga hunawiri sehemu zenye joto kuanzia pwani hadi mita 1,700 juu ya bahari. Mpunga huhitaji milimita 400 au zaidi za mvua na mchanga unaolowa maji polepole hadi unalowa vyema. Mwea na Ahero ndiko mpunga unakokuzwa ...
 • Unknown author (Africa soil health Consortium, 2014-12)
  Ugonjwa wa doa njano la mpunga husababisha majanga makubwa na hasara kubwa ya mavuno kwenye mpunga wa nyanda za chini unaokuzwa kupitia umwagiliaji maji katika Afrika chini ya Sahara. Majani hugeuka rangi ya manjano ...
 • Unknown author (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Idara ya Sayansi ya Udongo, 2016)
  Kijitabu kinacholezea mbinu bora na sahihi katika likimo cha mpunga kuanzia uandaaji wa mashamba, mbolea upandaji na uvunaji ili kupata mavuno mengi na bora.
 • Mwalyego, F. S; Myoya, T; Kabungo, D; Mussei, A; Kayeke, J; Ndegeulaya, D; Mgaya, E (Sokoine University of Agriculture - TARP II Project, 2003)
  Research and promotion of Integrated Disease Management (10M) options for Rice Yellow Mottle Virus (RYMV) disease in Kyela district is among the projects being implemented under the project Food Security and Household ...
 • Unknown author (Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo - SUA, 2004)
  Muhogo ni moja ya mazao ya mizizi hapa Tanzania na nchi nyinqi za Africa. Muhogo una wanga mwingi. Zao hili hustahimili ukame na hivyo husaidia sana katika harakati za kupambana na njaa hasawakati wa ukame. Pamoja na ...
 • Makundi, R. H; Misangu, R. N; Reuben, S. O. W. M; Kilonzo, B. M; Ishengoma, C. G; Lyimo, H; Mwatawala, M (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2005-01)
  Hifadhi bora ya mazao inahakikisha familia inakuwa na chakula cha kutosheleza mwaka mzima. Pia mazao yanaweza kuuzwa wakati wowote ili kuongeza kipato. Mradi wa hifadhi bora ya mazao na udhibiti wa viumbe waharibifu ...
 • Tiisekwa, B. P. M; Ndibakunze, B. K; Suleiman, R; Tiisekwa, A. B; Chove, B (ASARECA, 2011-11)
  Fruits are an important crop in Eastern and Central Africa, just as they are the world over. They are source of essential vitamins, minerals, antioxidants, fibers and carbohydrates which our bodies needs them crucially. ...

View more