Mkulima

Browsing by Title

Browsing by Title

Sort by: Order: Results:

 • Unknown author (Agricultural Research Institute - ARI Uyole, 2018)
  Common bean (Phaseolus vulgaris) plays a principal role in the livelihoods of smallholder farmers in Tanzania as food security crop and source of income. It is the leading leguminous crop, accounting for 78% of land under ...
 • Unknown author (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar - SMZ, 2012)
  Utafiti huu wa athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi Zanzibar umetoa tathmini ya athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi kwa visiwa hivi,njia muhimu za kuweza kukabiliana nazo na fursa ya kupunguza ongezeko la ...
 • Unknown author (Economic and Social Research Foundation - REPOA, 2012)
  Kwa nia ya kupambana na viashirio vya uhaba wa chakula ambavyo zaidi husababishwa na hali mbaya ya hewa, Serikali imekuwa na sera ya kuzuia uuzaji wa aina kuu za vyakula nje ya nchi. Hufanya hivyo kwa kisingizio ...
 • Unknown author (Baraza la Taifa la Biashara Tanzania - TNBC, 2009)
  Tamko la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), ambapo chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lilifanya mkutano tarehe 2 na 3 mwezi Juni 2009 jijini Dar es Salaam, ...
 • Tiisekwa, B. P. M (Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2014)
  Kipeperushi chenye maelezo yanayochanganua mahesabu kwa ajili ya wasindikaji wa vyakula
 • Unknown author (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)
  Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana ...
 • Bamia 
  Unknown author (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
  Mwongozo juu ya ulimaji na uchaguaji mbegu na aina bora ya bamia kwa ajili ya kupata mavuno bora na uvumilivu wa wadudu.
 • Unknown author (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
  Maelezo juu ya ulimaji wa bilinganya na uchaguzi sahihi wa mbegu na aina za bilinganya.
 • Mutalemwa, Darlene K; Mutalemwa, Deo P (Policy Forum, 2014)
  Mandhari ya hali halisi ya ushirikiano wa kimaendeleo inabadilika huku kukiwa na ongezeko la washirika wapya ambao ni Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, unaojulikana kwa pamoja kama BRICS . Washirika hawa wapya ...
 • Oei, P; Nieuwenhuijzen, B (Agromisa Foundation, 2008)
  Kulima bustani za uyoga ni shughuli inayotimiza kikamilifu kilimo endelevu na zipo faida kadhaa: ? Taka na makapi ya mazao hutumika vema. ? Uzalishaji wa juu kwa kila meta mraba wa ardhi huwezekana. ? Baada ya kuvuna ...
 • Unknown author (Starke Ayres, 2014)
  The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia and has developed ...
 • Carrots 
  Unknown author (2000)
  The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia. Initially the ...
 • Unknown author (COUNSENUTH, 2010-07)
  Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko ...
 • Unknown author (Chuo cha Mipango na Maendeleo ya Jamii - IRDP, 2014)
  Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya na ni mfano wa utendaji bora katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwezesha jamii kufanya majaribio, tathmini na kutumia mbinu 26 za ubunifu kukabiliana ...
 • Babili, H. I (Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza - ICE (SUA), 2017-08)
  Kipeperushi kunachoelezea ugonjwa wa nyanya "Kanitangaze"
 • Tiisekwa, B. P. M; Chove, B. E; Ndibakunze, B. K; Suleiman, R (Sokoine University of Agiculture - SUA, 2011-02)
  One must remember that food process equipment should be designed for sanitary operation and ease of maintenance and cleaning. 1. Food contact should be constructed of non-corrosive and non-toxic materials...
 • Unknown author (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili - EPINAV, 2012)
  Kipeperushi kinachoelezea ugonjwa wa kiwele
 • Unknown author (Crop Protection Compendium - CABI, 2014-09)
  Doa jani la kijivu la mahindi umeibuka kama ugonjwa ulioweka kikwazo kwa mazao ya mahindi nchini Marekani na kusini mwa Afrika katika miaka 25 iliyopita. Ingawa ulidhaniwa kuwa aina moja ya kuvu, Cercospora zeae-maydis, ...
 • Nkuba, D. E. M; Bundala, N. H (2016)
  Utapiamlo ni miongoni mwa matatizo makubwa ya kiafya ambayo yanaathiri watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na wanaonyonyesha, kutokana na mahitaji yao kilishe kuwa makubwa. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa na ...
 • Unknown author (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
  Uzalishaji wa mboga mara nyingi unahusisha matumizi ya viuatilifu vyenye kemikali. Wakulima baadhi hawawezi kumudu gharama kubwa za viuatilifu hivi, ambavyo visipotumika vizuri – huweza kuleta madhara, kama kuharibu ...

Tafuta kwenye Mkulima

Browse

My Account